Upishi wa Vibibi (Rice Pancakes).

Mahitaji: Mchele – vikombe 2 Tui la nazi (zito) – kikombe 1 na 1/2 Unga wa ngano Hamira – vijiko 2 vya chai Sukari Hiliki iliyosagwa – 1/2 kijiko cha chai. Yai – 1 Maandalizi: 1. Osha mchele, uloweke kwa masaa 24. 2. Chuja mchele, tia katika blender, weka tui la nazi (wastani) na sukari…

Upishi wa Chapati za Mtindi

Vifaa: 1. Unga wa ngano 2. Chumvi – kijiko cha chai 1/1.4 3. Sukari – kijiko cha chai 1/1.4 4. Samli au mafuta ya kula – Vijiko 4 vya chakula 5. Mtindi – Kikombe 1 4. Maji – 1/4 kikombe Maandalizi: 1. Weka unga kwenye sinia au bakuli la kukandia. 2. Weka sukari na chumvi…

Upishi wa Biryani

Vifaa: 1. Basmati Rice 2. Vitunguu Saumu 3. Tangawizi 4. Hiliki 5. Bizari nyembamba 6. Mdalasini 7. Karoti 8. Nyanya 9. Nyanya ya pakti (tomato paste) 10. Maziwa ya Mtindi 11. Vitunguu maji. 12. Mafuta ya kula 13. Rangi ya chakula 14. Biryani Masala 15. Curry Powder 16. Pilau Masala 17. Nyama ya ng’ombe/kuku Jinsi…

Upishi wa Pilau Nyeupe. (isiyokuwa na rangi ya brown)

Vifaa: Mchele. Kitoweo ukipendacho. (Nyama,Kuku…) Viazi mbatata (mviringo). Bizari nyembamba. Hiliki Mdalasini. Vitunguu swaumu. Vitunguu maji. Zabibu kavu. (ukipenda) Mafuta ya kula . Chumvi. Karoti (ukipenda) Side note (wengine hutumia viungo ambavyo vimeshasagwa – Pilau Masala) Matayarisho. Weka maji ya moto jikoni mpaka yachemke (wengine hawachemshi) Twanga vitunguu swaumu na hiliki pamoja na chumvi kidogo….

Jinsi ya kupika mkate laini.

Vifaa: Unga mweupe wa ngano – vikombe 3 Sukari – 1/3 mug Maji – 3/4 Mug Maziwa ya unga – 1/2 mug Mafuta ya kula – 1/4 mug Mtindi – kijiko kimoja cha chakula Hamira ( instant) – viijiko 2 vya chakula Mayai – 1 Hiliki. Namna ya kupika: Koroga maziwa ya unga na maji…