Upishi wa vitumbua.

Vifaa: Mchele- 1kg Nazi – Azam pakti 2 Mayai Hiliki Hamira – pakti 1 (instant) Unga wa sembe (optional) Sukari 1/4 Maji kidogo Maandalizi: Loweka mchele usiku mzima. Chuja mchele kisha changanya na mayai, hiliki, sukari na nazi halafu usage (usiwe mzito sana, wala mwepesi sana). Changanya kidogo na unga wa sembe (hii ni optional)….

Upishi wa wali wa kukaanga.

Vifaa Mchele Mayai 3 Soy sauce Karoti Vitunguu maji Vitunguu saumu Njegere Mahindi Broccoli Maini au vipande vya kuku au uduvi (shrimp). Siagi Mafuta ya kula Matayarisho Osha mchele wako kisha upike kama unavyopika wali wa kawaida, ukishaiva uweke pembeni. Chukua mayai, yapige kwenye bakuli, chukua chombo utakachopikia, weka siagi, kaanga mayai, yakoroge koroge ili…

Upishi wa maandazi ya nazi na zabibu kavu.

Vifaa: Unga wa ngano Mafuta ya kula au Samli Hiliki Zabibu kavu Nazi Maji Chumvi Sukari Hamira ya chenga. Vanilla flavor Matayarisho: Weka unga wa ngano kwenye chombo cha kukandia, tia hamira ya chenga, chumvi kidogo, hiliki, vanilla, zabibu kavu, sukari na samli au mafuta ya kula kisha anza kuchanganya. Ukishachanganya anza kuweka tui la…

Upishi wa kababu za Nyama.

Food For Thought Vifaa. 1. Nyama ya kusaga 2. Silesi za mkate au unga wa mkate 3. Mayai 2 4. Unga wa ngano 1/4 5. Pilipili hoho 6. Karoti 7. Vitunguu maji 8. Pilipili manga (Black paper) 9. Viungo vya upendeleo wako. 10. Giligilani (coriander). 11. Chumvi 12. Vitunguu Saumu 13. Tangawizi. Matayarisho: Kata vitunguu…

Upishi wa Visheti

Vifaa: 1. Unga wa ngano 2. Baking Powder 3. Siagi 4. Vanilla 5. Icing sugar 6. Maziwa ya maji 7. Nazi 8. Mayai Matayarisho: 1. Kuna nazi halafu isage kwenye blender. 2. Changanya unga wa ngano na baking powder. 3. Changanya siagi kwenye unga, weka nazi uliyosaga, vanila na mayai. 4. Anza kutia maziwa kidogo…